ya naenda je na pirka za kuajibika mie sijisikii mapaja na nanihu ma pamoja na miguu nafikiri yatakuwa machovu ukipata muda tu unitumie mana mambo magumu kama ungekuwa na pesa za kutosho nitumie nyingi kidogo muombe japo bibi mana vitu vingi vimepungua krb vishuka vitaongezeka mchana mwema bosi