mambo vipi man dulla lete habari za huko salama??niko nacheki naona liam amekuwa na mdogo wake kumbe ni wa kike naona nae amekuwa mdada dah inapendeza sana man,vipi habari nyingine kimya sana rafiki yangu maisha huko sasa hivi??sisi huku bado tunaendelea kupambana na mambo yanayotukabili mbele yetu hope siku moja mambo yatakuwa fresh tu.