Duuuuuuuuuuhhhhh achen kuparamia hovyo!! Yaan kuna dr mmoja na heshima zake,mkewe kaenda Moshi kujifungua,dr akawa amebaki hapa anaendelea na majukumu yake ya kikazi sas unajua kilichotokea! Kaenda baa kunywa bia ci kalewa! Akamtokea mdada mmoja wakaanza kulewa,, sasa hyo dr alivyokuwa chiz akampeleka yule Dada nyumban kwake wakalala sasa dr kaamka mapema aende kazin anamwamsha mdada watoke wote mdada kakataa unajua kilichoendelea? Yule dada alimwambia dr kuwa wee nenda mimi...